Leo 01/01/2016.
Namshukuru mola kunifikisha nikiwa salama..Wazazi wangu nawatakia maisha marefu na yenye baraka pia na wote walioniwezesha kwa namna yeyote kufika hapa nilipo kwa sasa ninawaombea maisha marefu na yenye baraka tele..amina.
Leo nitakuwepo tu maskani nikifanya shughuli ndogondogo za hapa na pale ndio maana unaniona katika picha nikiwa nimetune bila wasiwasi
Nikiwa katika harakati za kumleta my love soon god bless me katika hilo.
I WISH YOU A HAPYY NEW YEAR 2016 GOD BLESS YOU.
karibu katika official blog yangu ili ufurahie mambo mengi. jiunge nami katika habari za uhakika na uwe huru.
Nafurahi kuwa cocobeach
Nafurahi kuwa coco beech!
Ni siku ya kirismas...nipo hapa coco beach napunga upepo mwanana wa bahari. Kitu kinachonifurahisha zaidi nikuona watu kutoka sehemu mbalim...
Alhamisi, 31 Desemba 2015
Mola tubariki 2016.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni