Nafurahi kuwa cocobeach

Nafurahi kuwa coco beech!

Ni siku ya kirismas...nipo hapa coco beach napunga upepo mwanana wa bahari. Kitu kinachonifurahisha zaidi nikuona watu kutoka sehemu mbalim...

Alhamisi, 31 Desemba 2015

Nafurahi kuwa coco beech!

Ni siku ya kirismas...nipo hapa coco beach napunga upepo mwanana wa bahari.
Kitu kinachonifurahisha zaidi nikuona watu kutoka sehemu mbalimbali za jiji hili wakiwa hapa wakienjoy!! Changanyikeni ya hapa na pale inaweza kukufanya usienjoy kutokana na kuwa na watu wengi siku hii.
Vilele mandhari ya coco beach yako pouwa kabisa kama unavyoona picha hii ikinionesha.. Nahisi hata mwaka mpya 2016. itakuwa full shangwe.
  Keeprup ni hayo tu for today
nifollow hapa
m.twitter.com/bladeami3

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni