Nafurahi kuwa cocobeach

Nafurahi kuwa coco beech!

Ni siku ya kirismas...nipo hapa coco beach napunga upepo mwanana wa bahari. Kitu kinachonifurahisha zaidi nikuona watu kutoka sehemu mbalim...

Ijumaa, 6 Mei 2016

SAPORT YENU KWANGU

Napenda kutanguliza shukrani kwa wadau na mashabiki wote waliosapoti kazi yangu ya mziki hadi kufikia hapa nilipo fikia.Kiukweli najitahidi nitoke hapa nilipo ili nifike level nyingine kabisa..Hivyo nazidi kuwategemea katika saport yenu. HIZI NI SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWANI MIMI BILA NYINYI SI KITU. Asante!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni