Nafurahi kuwa cocobeach

Nafurahi kuwa coco beech!

Ni siku ya kirismas...nipo hapa coco beach napunga upepo mwanana wa bahari. Kitu kinachonifurahisha zaidi nikuona watu kutoka sehemu mbalim...

Ijumaa, 6 Mei 2016

KUIGA NI VIBAYA

Angalia jamaa kilichomkuta baada ya kuiga mambo asiyoyaweza..jamani nawaomba tusipende mambo ya kuigaiga so mazuri. Jaribu kufanya kitu kilichokizuri ili watu wakifurahie yaani ile destiny yako ndio itakuweka sehemu nzuri katika maisha yako. Mungu anakuona si kwamba amekutupa Hivyo ukivumbua vitu vipya itakuwa rahisi kwa watu kukutafuta na watu wakikutafuta itakuwa chanzo cha wewe Kujiingizia kipato. Anza Leo wewe kijana ambaye dunia inakutegemea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni